Life After Life: Je, wajua Magufuli huko alipo anayaona yote? Je, tuendeleze 'double standards' ya 'cherry picking' au tuiachie Karma iwashughulikie?

Chonde chonde, hata hili la Wamachinga, jinsi tunavyowafanya sasa, JPM anawaona. Musukuma na Polepole wako right. Wamachinga watendewe haki.
P
Pasko tumekwambia time and again kuwa huyo amekufa na hajui neno lolote. kama kuna kitu au agenda unataka kuiadvance basi fanya hivyo kwa kutumia vehicle ingine siyo kutumia mfu. hatuamini katika wafu. wakristo wa kweli hawaamini katika wafu kujua kitu chochote kama maandiko yasemwavyo. BTW huyo mtu ni nani mpaka mtu ajisumbue kuwa kwa kuyaona hayo huko alikolala ndio yatamstua?
 
ni katika kukumbushana tuu JPM yupo na yanayoendelea anayaona yote...
p
 
ni katika kukumbushana tuu JPM yupo na yanayoendelea anay
Pascal tunakwambia tena hiyo ni theology ya kipagani na utunzi wa wasanii. Hakuna kitu kama hicho cha magu kuona chochote. Yeye Sasa hivi ni mfu na hajui neno lolote kwa mujibu wa Biblia. He is dead and fast asleep. knows nothing
Christianity ni dini ya juzi juzi tuu ukilinganisha na Hinduism na Budhism
p
 
ni katika kukumbushana tuu JPM yupo na yanayoendelea anay

Christianity ni dini ya juzi juzi tuu ukilinganisha na Hinduism na Budhism
p
Christianity haina uhusiano wa moja kwa moja na ujuzi kuhusu kifo na maisha yanayokuja baadae so usiitumie kama hoja mkuu wangu..
ninachotaka kukueleza ni kuwa hapa duniani ni shambani tumekuja kupanda tuu mavuno yetu ya milele, pasi na kuzingatia ni hasara au faida ila yatajulikana baada ya kifo na JPM hajui kinachoendelea anapambana na ya kwake huko..
 
ni katika kukumbushana tuu JPM yupo na yanayoendelea anay

Christianity ni dini ya juzi juzi tuu ukilinganisha na Hinduism na Budhism
p
Pascal you can't be this absurd. It's not about how old Christianity is. It's about the voice of God. I'm sure you will not be more absurd kwa kusema Mungu Muumba naye ni wa juzi juzi tu.
 
Dini ni imani, kwa vile mambo ya after life na reincarnation sio mambo ya Christianity ni mambo Hinduism na Budhism hivyo nashauri keep your faith in what you believe in.
Mimi ni muumini wa life after life and reincarnation, JPM anaona kila kitu!.
P
 
Mkuu MWALLA , karibu.
P
 
Good with your beliefs, ila ukweli ni kwamba hamna roho inaenda Mbinguni, kuhusu Imani yako ya kikristo I think you should also believe roho itairudia mwili na mtu atakuwa nafsi hai ndio atahukumiwa, what's the point of second coming of Christ kama roho inaenda Mbinguni kuhukumiwa? It doesn't make any sense!!
 
Kitu nakushangaa ni wewe kujichanganya changanya sana mwenyewe. Kabla uliongelea kina Ben Saanane, Azory na Tundu Lissu ukionekana kutokubaliana na yaliyowakuta. Ghafla unamtetea Sabaya kwa kusema "tutamuudhi" marehemu kwasababu ya kipenzi chake anafungwa pingu na kuchuchumaa... Kwahiyo mhalifu aogopwe kwasababu marehemu alimpenda sana! Na kumshugulikia mhalifu ni kumuudhi marehemu!! Kitu kingine kwenye uandishi wako, you are not objective. Yaani unachanganya mambo mpaka hueleweki unasimamia nini. Shame..
 
Kama alikufa au aliuliwa "prematurely", yaani nafs yake bado haijauonja au kuingia kwenye umauti basi atakuwa anasikia, anaona kila kitu na anaweza ku communicate na nafs zingine "spiritually" sio physically". Lakini kama nafsi ilishauonja umauti, hana cha kuona wala kusikia "physically". Mwenyeezi Mungu kaweka kizuizi "barrier" baina ya umauti na uhai.

Ukitaka kufahamu zaidi, darsa hili la "nafs" uliza tu, ntakufahamisha kadri ya nilivyojaaliwa kuyajuwa kwa upeo wangu mdogo.
 
Ukifa ndo mwisho hakuna cha kuona kinachoendelea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…