Life After Life: Je, wajua Magufuli huko alipo anayaona yote? Je, tuendeleze 'double standards' ya 'cherry picking' au tuiachie Karma iwashughulikie?

Siku zote huwa naona IQ yako ipo chini sana maana mada zako nyingi huwa zinakosa mashiko as if imeandikwa na mtoto wa form six.

Mambo ya life after death na kutetea wahalifu ambao Mahakama imewahukumu tena wewe ni mwanasheria naendelea kukutoa thamani nilitarajia mwandishi aliyesoma Sheria aelimishe jamii kuhusu Uhuru wa Mahakama Ila wewe umekuwa mpotoshaji.

No wonder watu wengi eanakusagia sana angalia thread nzima
 
“Imani kuwa CCM itatawala milele ni imani potofu. Hakuna umilele wa chama chochote kilichoundwa na mwanadamu. CCM itakufa kwa sababu moja kuu, kwamba inaamini haitakufa. Ukiamini hautakufa ndiyo utakufa.” - Askofu Benson Bagonza
 
Pia inawezekana ni Mzee Baba, huko huko alipo, ameamua kumsaidia kijana wake aachiwe!.
P
 
Afadhali atendewe haki
P
 
Uko alipo anajuta, angeweza kurudi tena Duniani angeomba msamaa kwa matendo maovu aliyoyatenda na kutubu maovu yote ila haiwezekani tena.

MAJI YAKISHA MWAGIKA HAYAZOLEKI!
 
Uko alipo anajuta, angeweza kurudi tena Duniani angeomba msamaa kwa matendo maovu aliyoyatenda na kutubu maovu yote ila haiwezekani tena.

MAJI YAKISHA MWAGIKA HAYAZOLEKI!
No one knows his last moments of his life in this ulimwengu wa mwili alifanya nini au alisema nini, kwasababu binadamu unakuja peke yako na bila kitu na siku unaondoka dunia hii kuhamia kwenye ulimwengu wa Roho, unakuwa ni wewe tuu na Mungu wako, ndio maana hatuwasemi vibaya marehemu wetu.
RIP JPM.
P
 
Mungu amuweke mahali panopo mstahili.
 
Anayaona akiwa nani?
 
Paschal we hovyo sana! Njaa zitakuua idiot
 
Kwa vile JPM yuko peponi Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani usikute ni Mzee Baba mwenyewe ndiye anasimamia hii show Lengai Ole Sabaya aachiwa Huru

P
 
Kuachiwa kwa Sabaya saves lives!. Asingeachiwa ...
P
 
Unatafuta laana ya Mungu wewe mwanadamu mwisho wake ni kuoza na kunuka tu utasikia nini huku umeoza na unanuka😄😄
 
Ayaone nini na wewe nae, tuondoshee kufuru zako za kisukuma hapa.
Kufuru kivipi?!. Usukuma wangu unaingiaje kwenye bandiko hili?!. Wakristo, Waislamu, Hinduism na Buddhism, dini zote hizi zinaamini kwenye after life, Wakristo na Waislamu wanaamini kuna peponi na jehanam ya moto wa milele, wakati Buddhism na Hinduism wanaamini reincarnation.
Kufuru iko wapi?.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…