Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Kuna shughuli fulani nataka kufanya nae...Nitawajulish baadaye.
Asante sana FL1.Hatuko kwenye operesheni zinduka tuko kwenye operesheni lala salama.
Hapana ni kazi maalum Mkuu.Usiogope..Yuko salama 100%
Baada ya muda akampata na kupandisha bandiko hiliWanabodi,
Nilikuwa naangalia bunge kuapishwa kwa waheshimiwa wabunge wapya.
Ilipofika zamu ya Mhe. Upendo Furaha Peneza akiapa, nikamkumbuka Regia Mtema (RIP).
Kwa waumini wa 'life after life' na mambo ya 'reincarnation' mtanielewa!.
Kwa wafuatiliaji wa tanthiliya ya "Part of Me" kwenye Telemundo, tumemshuhudia Tajiri Monica Sorano, kabla ya kukutwa na umauti, alimtafuta mdada masikini Adrriana na bond naye!. Monica alipofariki, Adriana akaibuka na kukamilisha yale yote Monica aliyoyataka!.
Huyu mbunge Mhe. Upendo Furaha Peneza, alikuwa ni mshiriki tuu wa shindano la Maisha Plus. Ikatokea Regia akamuona akaja humu jf kumtafuta kwa bandiko hili
Namtafuta Upendo Peneza wa Maisha Plus -
[QUOTERegia Mtema]Ni muda kidogo umepita bila kujua huyu binti Upendo yuko wapi.Nina shida nae sana kuna kazi nataka kufanya nae..namfeel sana huyo binti.
Tafadhali kwa wale mnaofahamu aliko naomba mnijulishe tafadhali.
Asanete sana.

View attachment 306457View attachment 306458
Haka kabinti ni kazuri lakini wasi wasi wangu ni kuwa Chadema si sehemu salama kwa makuzi ya mabinti wa aina hii hawachelewi kubadili gia angani!
Upendo Furaha Peneza na kusii usikubali gia kubadilishwa ....
Mkuu,View attachment 306457View attachment 306458