Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
- Thread starter
-
- #61
Mkuu Mzito K, Mzito Kabwela hizo likes zangu, ni likes za shukani zangu kwa wote wanaochangia thead zangu!. Nikianzisha thread yoyote, kila anayechangia thread hiyo, anakula like yangu hata kama ameandika utumbo, hata akinitukana, bado atakula like yangu kwa kile tuu kitendo cha kufungua bandiko lako na kuchangia!. Hizi ni likes za appreciation kuchangia tuu ila sio like ya kusema ndio nimependa alichochangia!, like nyingine ni like, ni nod kukujulisha nimekusoma,nimekunote, nimekusikia!.Pasco kila comment unai-like inamaana unavutiwa na comments zote au unachangamsha baraza?
Nimekusoma mkuu sana PascoMkuu Mzito K, hizo likes zangu, ni shukani zangu kwa wote wanaochangia thead zangu!. Nikianzisha thread, kila anayechangia, hata kama ameandika utumbo, hata kama ametikana, atakula like, ya ile tuu kuchangia!, ila sio like ya kusema ndio nimependa alichochangia!, like nyingine ni like, ni nod kukujulisha nimekusoma,nimekunote, nimekusikia!.
Baadhi ya sisi wengine sii watovu wa shukrani, tunazimwaga tuu bwerere!!. Tunashukuru kwa yote mazuri na mabaya tunasema asante!.
Pasco
Mpose basi paskaliWanabodi leo tena nimemuona huyu Mbunge Upendo Furaha Peneza, akiuliza swali Bungeni kwa niaba ya Mhe. Lijualikali, kiukweli huyu Mhe. Bi Dada anapendeza sana na dressing zake haswa nguo zake zinavyomkaa kwenye kale kaji English figure chake, Peneza ana Pendeza.
Pia nitawaomba wazee Wenzangu tusameheane, wengine wenu uzee unatujia vibaya, kwa kadri umri unavyosonga, brain power concentration ya kusikiliza mambo muhimu yanayozungumzwa na badala yake macho ndio yanaongeza umakini kuona the beauty, the figures, dress codes na body mophological.
P
Itabidi maana hakuna ujanja naona paskali kakolea hapo Inabidi atupe ndoano sasa
Where are u Mr BenPasco,
Una kumbukumbu nzuri. Nakumbuka nilifahamiana na Upendo kupitia kwa Regia Mtema Mwaka 2010.Naamini ndani ya Bunge,atakuwa miongoni mwa wabunge bora kabisa kuzidi hata wengine waliomzidi Umri
Ndo akina nan hao mkuu P, ni Upendo na Regia (R.I.P)?Kaka Jambazi, mimi sio mtu wa mapicha picha ila mara moja moja
View attachment 1089097
Noted....PASCO,, hatimaye NYAPARA amekuwa RAIS... NYAPARA MKUU ni JPM sasa subiri list ya manyapara huku chini sasa. sasa ni mwendo wa unyapara tu!!!
Ndo akina nan hao mkuu P, ni Upendo na Regia (R.I.P)?
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Mdada ni upendo,na huyo Mzee Baba ndie Pascal Mayalla.
No sipendi dogo dogo, hapa nilipo mimi tayari ni babu mwenye wajukuu wawili kwa watoto wangu wawili ujanja wangu wote huishia ... kwa macho tuu.π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Jamaa nae anapenda dogo dogo. Ndo maana ana mpromote sanaa.
πππ