Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina?

Regia Mtema alikuwa akiishi na Halima Mdee Halima Mdee anafafahamika mambo yake na Rafiki yake Esther bulaya .

Sasa kumsaka huyo Upendo Peneza nina maswali Fulani hivi hilo.kundi looooooo limekaa kifataki
 
Mbona watu wanakufahamu yehodaya unakuwa na Kibajaji a kibajaji anafahamika kwa michezo yake but nobody cares?hii dunia haina siri.au unataka watu waweke picha zako za mwaka jana dodoma ukipigwa denda na kibajaji? Haya maisha hayana siri.


Regia Mtema alikuwa akiishi na Halima Mdee Halima Mdee anagafahamika mambo yake na Rafiki yake Esther bulaya .

Sasa kumsaka huyo Upendo Peneza nina maswali Fulani hivi hilo.kundi looooooo limekaa kifataki
 
Baada ya muda akampata na kupandisha bandiko hili
Nimempata Upendo Peneza

ambapo hata hivyo hakusema anamtafutia nini!.[QUOTE Regia Mtema]Wiki chache zilizopita nilijithilokeza hadharani nikimtafuta Upendo wa Maisha Plus One katika jukwaa hili la Celebrities.Wengine walinikatisha tamaa wakiniona kama mimi ni fataki,wengine walinitia moyo,na wengine wakaniconnect na binti huyu..Nimewasiliana naye na kufanya appointment naye ya kuonana naye ana kwa ana kwaajili ya shughuli niliyokuwa nataka nifanye naye. I met with her yesterday evening tukazungumza kwa sana.Natarajia kufanya naye shughuli iliniyonifanya nimtafute.Tutakuwa wote Morogoro,Dodoma,Iringa,Arusha na Dar.

Namshukuru sana Masika na wengineo kwa kuniunganisha naye.Asanteni sana wote.[/QUOTE]

Baada ya kumpata, baada ya muda wa kutosha kutimiza alichomtafutia, ndipo Regia akaenda ile safari...!.

Jee inawezekana ujio wa Upendo Furaha Peneza bungeni has something to do with kule kutafutwa na Regia?!.

Angalizo:Msije kutafsiri kuwa kuwa namuuliza Marehemu au namchunguza Maehemu, wala hili sio swali kuwa Jee Regia alikuwa anamtafutia nini Upendo Peneza, wala Upendo ambaye ni member humu, hatakiwi kuja kujibu Regia alimtafutia nini bali hili ni bandiko la mambo ya "life after life!" ambayo huwa hayazungumzwi bali yanashuhudiwa tuu kwenye performance!.

Paskali

Ref: Mnaweza kumsoma Upendo Furaha Peneza humu

Upendo Furaha Peneza (@UpendoPeneza) | Twitte

Upendo Furaha Peneza (gold in the rough), Vijana CHADEMA

Upendo Peneza ni malkia Nzinga Mbandi wa BAVICHA -

Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda

Upendo Peneza wa CHADEMA atoboa siri ya CHADEMA

Mungu amenipa nafasi nyingine ya kumtumikia na kutumikia

Upendo Peneza kapata ajali Geita akitokea kwenye Mikutano ya


Na kuhusu life after life
life after death

Dou you believe life after death ?

Do you believe in life after death?

Nini hutokea baada ya kufa?

Topic: Kifo ni nini na usababishwa na nini?

Topic: Kifo: Ni stahili yetu au adhabu?

Nakanusha kusifia na kuunga mkono Katiba inayo pendekezwa

[/QUOTE]
Duh...!.
P
 
Nyie Chadema, hebu acheni ujinga wenu, pelekeni majina ya wabunge wenu 19 wa viti maalum, pimeni pros na cons za kususa muone nini kina faida zaidi, hata kama sio kwa Chadema as chama, then waachieni fursa za ajira wanawake wenu 19, tena nashauri priority iwe ni kwa wale waliogombea majimboni.

Just imagine, mtu kama huyu kukosekana Bungeni?.
Acheni hizo, pelekeni majina.

Pp
 
Maendeleo hayana Vyama vingi.

Hao wabunge watatoka Mbinguni au nje ya nchi au hapa hapa Tanzania?
Kama ni Tanzania hayo maeneo watakayotoka hawatapewa hisani ya Maendeleo.
Watanzania wanataka maendeleo.
Wawachagua wabunge na madiwani na Rais wa CCM ili wapate maendeleo .
Watu wamechoka kubaguliwa kwenye suala la maendeleo.

Kuna maeneo kama Kilimanjaro,Mbeya, Kigoma , Pemba, Lindi , Manyara, Singida n.k. nao pia wameamua kurudi CCM kuanzia serikali za mitaa mpaka Ubunge na Urais. Wamechoka kuona uzinduzi Wa Miradi ya Maendeleo kwenye Television. ?
 
Huyu Dada umeamua kumpigania arudi bungeni.
 
Kwa heshima yako mama D, huyu dada aliuza Jimbo in a day light nimemaliza. SASA hivi anapambana kuhonga mbunye arudi bungeni, tumeshawatahadharisha KK, na ushahidi upo wa live na wa kimazingira!
mbunye?
ndio nini?!!
 
Kwa heshima yako mama D, huyu dada aliuza Jimbo in a day light nimemaliza. SASA hivi anapambana kuhonga mbunye arudi bungeni, tumeshawatahadharisha KK, na ushahidi upo wa live na wa kimazingira!

Dah.... hatari sana! Kama ni kweli nitaamini roho sio sura, huyu hafanani kabisa na hilo alilofanya
Huko anakoenda kutakua kubaya zaidi kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…