Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,774 Reaction score 47,866 Dec 17, 2021 #2 hizi si ni ford mustang ,ukiwa nayo leo hii ni unyama sanaa
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Dec 17, 2021 #3 Umenikumbusha miaka ya 80 nilimiliki baadhi ya hizo Dodge Charger nilikuwa naipenda sana kwa speed na nguvu muscle Ooh my Oldsmobile and Chevy Ila baadae niliacha na kujiunga na team Japan Ila USA walitamba sana Uarabuni kwa magari yao makubwa utafikiri umekaa sitting room Kwa bei hizo tunaona ndogo ila zilikuwa hela ndefu sana
Umenikumbusha miaka ya 80 nilimiliki baadhi ya hizo Dodge Charger nilikuwa naipenda sana kwa speed na nguvu muscle Ooh my Oldsmobile and Chevy Ila baadae niliacha na kujiunga na team Japan Ila USA walitamba sana Uarabuni kwa magari yao makubwa utafikiri umekaa sitting room Kwa bei hizo tunaona ndogo ila zilikuwa hela ndefu sana
M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 7,731 Reaction score 13,611 Dec 17, 2021 #4 Good Old days!