Umenikumbusha miaka ya 80 nilimiliki baadhi ya hizo
Dodge Charger nilikuwa naipenda sana kwa speed na nguvu muscle
Ooh my Oldsmobile and Chevy
Ila baadae niliacha na kujiunga na team Japan
Ila USA walitamba sana Uarabuni kwa magari yao makubwa utafikiri umekaa sitting room
Kwa bei hizo tunaona ndogo ila zilikuwa hela ndefu sana