Ukichunguza kwa makini nchi nyingi zilizopo kusini mwa Sahara umri wa kuishi upo kwenye range ya kuanzia 62-67 kwa wenzetu wa ulaya wastani wao ni miaka 77 na kuendelea.hata zile nchi za kaskanini mwa Africa wao Wana wastani mzuri zaidi compared na mataifa ya watu weusi.sijui tunakwama wapi wakuu