Duh! Mwaka 2009 nilipoondokewa na Baba, nililia kidogo tu, nilikuwa ninajizimua kuwapa moyo ndugu zangu. Lakini kilio kikuu ni zaidi ni 2010 pale yalipotangazwa matokeo ya uchaguzi na kusikia kuwa CCM itaendelea kuiburuza Tanzania. Nilivunjika moyo na kuililia Tanzania na Watanzania
Sante dearPole sana afro!

Hata sikumbuki mara ya mwisho!Ila jana nilikua naelekea kulia nikajikaza kike!
Asante sana Dada.Pole sana my dear
kwa kuindokewa na baba mwaka2009
hata mimi niliondokewa na baba mwaka huo
Mwezi wa tisa..
Ni January 21 this year, nilipoona jeneza lenye mwili wa mchumba wangu linashushwa kaburini. AAh, sitaki kukumbuka, napita tuu!
Ahhh we acha tu mpendwa!Kuna mtu aliniboa haswa!lyzz kwa nn ulitaka kulia///////////////