Hakuna aliyejua au mwenye uwezo wa kujua dunia inapoanza reset, inaweza ikaanzia popote hata Tandale na mpka pale itafanya maangamizi makubwa haitokuja siku mjue, na hata kwa sasa bado hatujajua kama ndio inafanya reset, subiri mziki wa Afrika ndio mtajua ngoma ilivyokaa.