McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
What are probrem hear?! Life is not fear maana yake maisha si woga. Diamond amefanikiwa kwa sababu hakuwa mwoga - hakujali alikotokea wala hakujali kingereza. Arirara mbere na vikwazo, yaani, ali-overcome fear and now he is leaving big life.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] baswahili na chuki binafsi ni ndugu wa damuHuyo Kiba kinachomweka ktk game mpaka sasa ni huruma tu ya mashabiki zake....
Dogo wa primary one hapa jirani kashaanza kujua kuandika hayo maneno madogo madogo ila mtu mzima unashindwa !!!Diamond anachukua zaidi ya milioni 20 kwa show moja lakini kibakuli katika zile show za vumbi havuti zaidi ya millioni 2 kwa show 1.
Life is not fear aisee....
JAMANI KIINGEREZA KILISHATUSHINDA KWANINI TUNALAZIMISHA. Life is not fear ndio nini? Na usifananishe SHOW ya mafungu mikoani na hizi show za KIBABE za mtu mmoja.wale wapo kumi na ushee
Diamond anachukua zaidi ya milioni 20 kwa show moja lakini kibakuli katika zile show za vumbi havuti zaidi ya millioni 2 kwa show 1.
Life is not fear aisee....
hahahaaaa.... umesahau na 'leaving'Punguza munkari NANDERA
What are probrem hear...?
Arirara mbere...?
Elimu....Elimu....Elimu.
2x5=20?,,wew urudie chekechekeaDiamond anachukua zaidi ya milioni 20 kwa show moja lakini kibakuli katika zile show za vumbi havuti zaidi ya millioni 2 kwa show 1.
Life is not fear aisee....
khaaa bro , andika kiswahili tu.. mbona ni easyDaah kweli life is not FEAR
pambana na hali yako mkuuDiamond anachukua zaidi ya milioni 20 kwa show moja lakini kibakuli katika zile show za vumbi havuti zaidi ya millioni 2 kwa show 1.
Life is not fear aisee....