Life is not fair aisee! Malipo ya show moja ya Diamond ni sawa na ya show 5 za Alikiba ktk Fiesta

turudi kwako.
mshahara wako ni bei gani kwa siku 30????????
 
]
Hela wanapokea hela wao mapovu tunatoa sisi huku.
Tupambane na hali zetu .
 
Diamond anachukua zaidi ya milioni 20 kwa show moja lakini kibakuli katika zile show za vumbi havuti zaidi ya millioni 2 kwa show 1.

Life is not fear aisee....
Where is your evidence? Or unalopoka tu
 
Wivu unapovuka mpaka ndipo adui anapouonesha dhahiri.
Sio kila mbio ni sahihi kwa Bolt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…