Lekanjobe Kubinika
JF-Expert Member
- Dec 6, 2006
- 3,019
- 579
Hujui kusoma graph (vielelezo katika picha). Hapo kuna ujumbe ambao kama angeandika labda zingejaa pages kibao.
Bora umenisaidia Mkuu. Ila kweli sielewi hata mimi kwa nini wakati mwingine picha hazijidisplay badala yake yanakuja mabox na ka x ndani. Hata nikibonyeza onyesha picha bado haziji. Kumbe sasa najua tuko wengi tunaokutwa na dhahma hii.Hujui kusoma graph (vielelezo katika picha). Hapo kuna ujumbe ambao kama angeandika labda zingejaa pages kibao.