LIFE MATE PARTNER( mpenzi wa kudumu wa kike anahitajika)

LIFE MATE PARTNER( mpenzi wa kudumu wa kike anahitajika)

pilot Joseph

Member
Joined
Jan 11, 2018
Posts
83
Reaction score
25
Hello
Napenda kutumia nafasi hii kutafuta msichana mzuri na mrembo mwenye sifa zifuatazo:
01: umri miaka 18-30
02: elimu kuanzia form 4 mpaka bachelor degree.
03: dini awe mkristo
04: awe mrefu kiasi, asiwe mfupi sana, rangi awe maji ya kunde au mweupe pia asiwe mnene sana na asiwe mwembamba sana

05: kabila lolote
06: awe na kazi au anasoma au hata kama hana kazi
07: awe na hofu ya MUNGU, mwenye hekima, busara, utii, nidhamu na heshima.
08: aliye tayari aniPM au anicheck kwa email address: josephzeclassic92@outlook.com au kwa namba 0719034736
Kwa upande wangu nina miaka 25, ni chocolate in colour, model, nina elimu ya bachelor degree.
 
25 year unataka mke! umeishamaliza mizunguko na nyimbo za kina Diamond?
 
Back
Top Bottom