Life! Sitolisahau hili

Ni wewe umesema mkuu.
Hakukua na haja ya wew kutaja taasisi husika
 
dada hakufanya poa ni utovu wa nidhamu, Ila hata wewe una moyo mwepesi huna ujasiri wa kukabiliana na changamoto, hiyo ya dada hukupaswa hata ikushughulishe.

Labda kidogo hilo la masomo,ungeuliza jinsi ya kupangua hivyo vimeo, watu wana maarifa humu.

Otherwise pambana kijana watu wana majanga makubwa Sana na wanakomaa 24/7
 
Mama akaniambia ndiyo anahtaji na anahtaji wawili.
Tuendelee..
Nlirudi gheto nkampa mchongo na nkamweleza kesho ake inatakiwa aende asubui saa kumi na mbili, kidogo nikaona amechangamka nikala nikasepa kwa msela wangu Kama kawaid...
Asubui nliporudi kabla sjafika yule maza akaniita na kuniuliza:binti amefika Ila sasa na mtoto haipendezi pia ni kumtesa mtoto kwamba kila siku aamke saa12 ka mtu mzima?!
Ampeleke nyumbani then aje afanye haraka Kama itawezekana.
Nikamjibu;Hamna shida nafikr atafanya hivyo acha nifike tukalijadili
Nlipofika sikutaka kuanza nlichoambiwa na Huyo maza nikawa ka sijui lolote... Nina tabia nikisikia au kuambiwa jambo huwa nafanya ka sjui lolote
Mimi:Eh Vipi asubui ulienda?
Yeye:Ndiyo Ila changamoto ni Mtoto
Mimi:kwa hiyo unafikiria nn? Au kufanyj!
Yeye:sijui nimpeleke wapi, em nambie nimpeleke wapi?
Mimi:ww unafikiria kumpeleka wapiii? Mimi sihtaj nkushaur ufanye hivi huchelew kusema ww ndo ulnishauri.
Yeye:nimpeleke kwa dada mkubwa
Mimi:huko haitofaa, dada anaweza kumpokea kwa nia nzuri Ila mwanaume lazima tu ajskie namna fulani ukzingatia wnyw pia wanajitafta..
Option pa kumpelka mtoto zlikua nyingi kwa dada, mama etu, ma mdogo au kwa baba
Option nzuri ikawa kwa baba ambako Ana mke mwingn na watoto 5 tukaona japo atapitia magumu Ila uwepo wa watoto wengi apo nyumbani utamfanya azoee hark...
Ikumbukwe baba na mama washazinguana kitambo na sie tulilelewa tu na bibi..
Tulivyojadili hayo nkamuomba anipashie chakula ninywe dawa homa ilkua imechukua nafasi.. Aliniandalia chakula nkala na dawa nkatumia nkajipumzisha.
Yeye akawa busy kucheki movie..
Baada ka nusu saa kupita, simu yangu ikaita... Nkapokea
Yeye:nmepata namba umeweka kwenye kibanda chako unachouza, nakihtaj.
Mimi:ndiyo nakiuza pesa ako tu mama
Yeye:unauza sh. Ngp?
Mimi:shilingi xxxx
Alibargain nkasa nimempunguzia 20 akawa amekubali Ila akaniomba nmkodishie mwezi mmoja, kwamba mwezi unaofata atakua amejipanga kununua kbisa
Nkamwambia kwann usisubiri ujipange then unitafte nkuuzie?
Blah blaa nyingi Ila sabu alikua tyr kutoa hela ya kukodisha day hiyo hiyo nkakubaliana nae.. Akanipa location tukutane nikachukue pesa...
Sikuweza kwenda muda huo coz viungo vyote vlkua havna nguvu plus kichwa kugonga unasweti then muda huo huo naskia baridi.
Nkaendlea kulala kushtuka tena kitanda kinacheza dah😡😡nikawaza hivi ye haoni soo na aibu???Mimi nilijua labda alifanya labda bahati mbaya siku hiyo kumbe issue iko serious kiasi hiki.
Nliamka nikajizoa zoa hadi nje..nkaenda kukaa
Bdae nkakumbk simu nliyopigiwa simu nikaona kulko nkae tu acha nifate ile pesa.
Nlienda na nlifanikiwa kupata changu nkard gheto, nkakuta amelala nkachukua kradio changu nkaenda nje connect blootth music...
Nikiwa nje ikaingia text
Kuna wali njoo ule hiyo mida ya Sa 8 sasa nkakaush ka dk 20 then nkaaamua niende nkapate chakula na dawa nimeze...
Nafungua iko chakula hata mtoto mdogo hawezi shiba nlimind japo skua na hamu yyte ya chakula..
Mimi:hiki chakula ndo umeniita nije kula?
Yeye:Ee
Mimi:kupika umeshindwa?
Yeye:chakula si kipo
Nlimind nkatoka muda kibunda tyr nshachukua nkawaza kwenda kula mgahawan nkaghair coz hamu ya chakula haikuepo kabisa. Nliptilz hadi banda umiza gundogan anascore foul mi nkaamua kurudi magheto sabu kuna masela walkua wananiita.

Nmemaliza harakati na washkaj naingia gheto kwamba nipate msosi mida ya Sa moja hiyo hata vyombo tu avijaoshwa... Nkamuuliza mchana unajua sijala Ila hadi saiz hata vyombo tu hujaosha yangu asbh we ni remote na kulala et..
Nliamua kulala tu sabu hali yangu haikua nzur, akaivisha nliamka kula lakn ata tonge kadhaa tu nkashindwa hamu ya kula haikuepo kabs
Nkarudi kulala na nkamwambia Mimi leo siendi kwa msela nalala kwangu ko nenda kwa majirani uombe kulala..
 
pole mkuu
 
Kumbe mlileleal

Kumbe mlilelewa na bibi, ndomaana nyote hamna akili.
 
Tema mate chini.
 
Kwa haraka haraka kuna ishu ya malezi kwa dada yako hakiwa mdogo hayakuwa mazuri ni mtu asiye jitambua.
 
,
 
hivi unavita bangi ya mbegu au ya majani?
 
Tatizo limeanzia kwenye utengano wa wazazi wenu. Mmeishi nje ya reli. Huyo dada ako hajastaarabika hata kidogo na wewe umekosa maamuzi kama mwanaume, umezingua sana. Ndugu zako watakuendesha sana kwenye maisha yako. Pole sana
 
Tatizo limeanzia kwenye utengano wa wazazi wenu. Mmeishi nje ya reli. Huyo dada ako hajastaarabika hata kidogo na wewe umekosa maamuzi kama mwanaume, umezingua sana. Ndugu zako watakuendesha sana kwenye maisha yako. Pole sana
Kumbuka sister ndo mtatuzi pekee wa changamoto zangu financially tangu nikiwa o'level datz y ye pia wamepata changamoto akaona afike kwangu.. Ndo maana ilikua inaniwia ugumu kufanya maamuzi yoyote... Khusu malezi skulazimishi kuamini ila tumelelewa vyema san tena kwenye misingi ya dini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…