Life span ya Twiga Cement

Life span ya Twiga Cement

Parachichi

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2008
Posts
510
Reaction score
102
wakuu heshima zenu!nilikua nauliza hivi cement ya Twiga inaweza kukaa mda gani bila kuharibika?ikihifadhiwa sehemu kavu,isiyo na unyevu nyevu!nimenunua kwa ajili ya ujenzi,ila mambo yamekua tight,nataka niuze kwa hasara kama itaharibika:nawasilisha wakuu kwa ushauri
 
life span take ni ndogo sana siku 90 katakana na hali halisi ya hewa ya bongo inunyevunyevu wa asilimia 16 , na cememt pack yetu haina plastic kwa ndani, kama iko dar na iko hai haijaganda ninaweza kuinunua yote
 
Back
Top Bottom