wakuu heshima zenu!nilikua nauliza hivi cement ya Twiga inaweza kukaa mda gani bila kuharibika?ikihifadhiwa sehemu kavu,isiyo na unyevu nyevu!nimenunua kwa ajili ya ujenzi,ila mambo yamekua tight,nataka niuze kwa hasara kama itaharibika:nawasilisha wakuu kwa ushauri