Comrade Liu Yang
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 206
- 326
Kila la kheri imro sahihi ila uwe makini mademu wa mtandao na hasa usiwe desparate ...Sifa zangu
Naishi Dar
Muajiriwa Serikalini
Umri 33yrs
Dini mkristo
Partner nimtakae
*Aishi dar/awe tayari kuhamia dar
*Ujishughulishe kwa chochote
*Dini Mkristo (Muislam uwe tayri kuwa converted)
*Umri (wowote unao ona unaiweza NDOA)
PM yangu ipo wazi kwa mdada mwanamke alie tayari.
Single Mother sio kasoro,mtoto asizidi mmoja.
πππSifa zangu

aasanteKila la kheri
Nashukuru NduguKila la kheri imro sahihi ila uwe makini mademu wa mtandao na hasa usiwe desparate ...