Darlingtone JF-Expert Member Joined Jan 9, 2011 Posts 390 Reaction score 146 Jan 17, 2011 #41 Nini maana ya NDOA kwanza... na Umuhimu wake ni nini?
Rose1980 JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 5,684 Reaction score 1,305 Jan 17, 2011 #42 ukiooa ukiolewa unaongeza miguu ..unakuwa nayo mi4?pua 5? na usipoolewa unakatika vdole vya mikono....KUKAMILIKA NA KUTOKUKAMILIKA KWA MANTIKI IPI?NINI KIPIMO CHAKE..?
ukiooa ukiolewa unaongeza miguu ..unakuwa nayo mi4?pua 5? na usipoolewa unakatika vdole vya mikono....KUKAMILIKA NA KUTOKUKAMILIKA KWA MANTIKI IPI?NINI KIPIMO CHAKE..?
Rose1980 JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 5,684 Reaction score 1,305 Jan 17, 2011 #43 Ndevu mbili said: Jamani haya maulizo mengine yanaudhi humu! Hivi hatujua kila kitu kina umuhim wake? Mbona watu wanavaa nguo zaidi ya mbili sehem moya! Kwani what's necessitous? Click to expand... ahh kuna sehemu wanavaa nguo mbili...? ENNH AYA
Ndevu mbili said: Jamani haya maulizo mengine yanaudhi humu! Hivi hatujua kila kitu kina umuhim wake? Mbona watu wanavaa nguo zaidi ya mbili sehem moya! Kwani what's necessitous? Click to expand... ahh kuna sehemu wanavaa nguo mbili...? ENNH AYA