Life without stress.

Life without stress.

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2010
Posts
7,956
Reaction score
5,149
bibi%2Bna%2Bbabu.jpg

Source:Mjengwa.

Tazama picha kisha utafakari,kama nchi imejaa watu ambao hawana wasiwasi wa maisha yao safari yetu ya ukombozi itafanikiwa?
 
haya ndio maishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Na kama kungekuwa na kipimo cha furaha nadhani hawa watu wangetushinda wengi sana humu duniani.

kweli kabisa......hapo ushirikiano wanaupa kipaumbele sana....kama watz tungekuwa na ushirikiano huu tungekuwa mbali
 
kweli kabisa......hapo ushirikiano wanaupa kipaumbele sana....kama watz tungekuwa na ushirikiano huu tungekuwa mbali

Na ukiwauliza matarajio yao kwa siku za usoni si ajabu wakakujibu "nitafurahi sana mjukuu wangu yule anayemaliza la saba mwaka huu akiolewa na mwalimu".
 
bibi%2Bna%2Bbabu.jpg

Source:Mjengwa.

Tazama picha kisha utafakari,kama nchi imejaa watu ambao hawana wasiwasi wa maisha yao safari yetu ya ukombozi itafanikiwa?

Hawa ni wanyalukolo wa Iringa wanafurahia ushindi wa chadema dhidi ya ccm hapo Iringa mjini ; wapo sehemu za Kihesa wanabwia ULANZI!!
 
Back
Top Bottom