Lifespan ya bati za kuezeka majumbani ni miaka mingapi?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Wakuu kwanza je hizi bati za kizalendo za kuezekea majumbani zina-expire?

na kama jibu ni ndio, Je zina-expire baada ya miaka mingapi?
 
Wakuu kwanza je hizi bati za kizalendo za kuezekea majumbani zina-expire?

na kama jibu ni ndio, Je zina-dxpire baada ya miaka mingapi?
Hakuna kitu kisicho expire..Bati lina expire haraka au taratibu Sababu.
1..Ubora
2.Mazingira.
Hivyo vitu ndo vitaamua Bati lako likae muda gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…