Dah!Tumechoka kufikiri!!!!!!!!!
Ndugu yetu, kama kwa suala dogo kama hili unashindwa kufikiri ni nini cha kufanya, nadhani hata msaada wa mawazo utakaopewa unaweza usiuelewe, unless uwe umeleta hiimada kwa ajili ya kufurahisha genge tuWadau,
Hivi karibuni ofisini kwetu ameingia mdada mmoja hivi ambae nlikuja kugundua anakaa karibu Na home.
Nimekua nikimpita kwenye kituo cha daladala na mwishowe anakuja ofisini akiwa amechelewa.
After few weeks toka aingie pale job nikaamua kua namsaidia lift daily.
Sasa my girlfriend amegundua na anatishia kuvunja mahusiano,
Please Help!!
Nielekeze ni wapi mimi niwe nampitia nampa lift huyo dada hata kama ikinilazimu kuamka saa kumi alfajiri......!!!
Huyo rafiki yako naye ana roho mbaya kweli! Au pengine labda ni kutojiamini tu! Sasa watu ni majirani na mnafanya kazi sehemu mmoja, unaanzaje kumnyima lift kisa jinsia yake tu?Wadau,
Hivi karibuni ofisini kwetu ameingia mdada mmoja hivi ambae nlikuja kugundua anakaa karibu Na home.
Nimekua nikimpita kwenye kituo cha daladala na mwishowe anakuja ofisini akiwa amechelewa.
After few weeks toka aingie pale job nikaamua kua namsaidia lift daily.
Sasa my girlfriend amegundua na anatishia kuvunja mahusiano,
Please Help!!
duh,hii imenikumbusha siku 1 nikiwa nasubiri usafiri, alipika kaka mmoja tunafanya nae kazi jengo 1 ila ofc tofauti akiwa na mkewe akanipa lifti. . . alim-drop mkewe then tukaondoka kwa vile jengoni kwetu ni mbali toka kazini kwa mkewe. nahisi mkewe hakupenda me kupewa lifti, kesho yake nilipitwa kituon kama upepo, sikupewa lifti tena. lol nilishangaa sana yule mwanamke kutojiamini, make mumewe tunashinda kutwa tunapisha kwenye lifti,corrido na hata lunch na breakfast. .
AKILI MU KICHWA mtoa mada!