lift ya boss mwanume na mfanyakazi mwanamke

royna

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
479
Reaction score
335
Una maoni gani kwa subordinate mwanamke anapoomba apewe lift na boss wake mwanamke mara kwa mara au kwa sababu wanakaa eneo jirani au boss anapita njia karibu na makazi ya mdada? lift za au asubuhi au asubuhi na jioni?mahusiano haya yana madhara yoyote kwa ndoa ya boss mwanaume au mdada?waweza pia tumia uzoefu wa maisha ya kila siku.
 
Lift anatoa Boss mwanamke then madhara katika ndoa ya Boss mwanaume hueleweki.
 
Boss lazima aji respect sio dereva wa mfanya kazi wake.
 
Una maoni gani kwa subordinate mwanamke anapoomba apewe lift na boss wake mwanamke mara kwa mara au kwa sababu wanakaa eneo jirani au boss anapita njia karibu na makazi ya mdada? lift za au asubuhi au asubuhi na jioni?mahusiano haya yana madhara yoyote kwa ndoa ya boss mwanaume au mdada?waweza pia tumia uzoefu wa maisha ya kila siku.

Lift kama lift huwa hazina matatizo, tatizo ni je huyo anayetoa lift na huyo anayeomba lift wana nia njema? Maana kuna wengine wanaomba lift kwa kuwa na malengo ya kutengeneza ukaribu na baadaye kutegana!
Lift zikizidi sana huleta balaa, siungi mkono hoja!
 
sorry lift inatolewa na boss mwanaume.
 
Sipendi lift za jinsia mbili tofautiUtaishia ku-compromise mambo mengi tu.Kwa nini usipande daladala hadi utakapojaaliwa kupata la kwako??
 
Amina kwa hili kwa kweli,
kwa mfano mi mke wangu ndo huyu mpya kabisa! hata hatujui kama ndoa ina changamoto na mgongano wa ideas bado- nasikia eti daktari mkuu anampa lifti daily, namhamisha hospital mimi! kama vipi awe tu mama wa nyumbani afanyie research zake hapahapa home...mambo gani ya ku talk to my wife daily!
siku akininunia we bado unazidi tu kulonga naye! kha!
Si ndo hapo kuanza kujifanya ; Ooh! mi siko kama mumeo nipe nafasi uone?

Sipendi lift za jinsia mbili tofautiUtaishia ku-compromise mambo mengi tu.Kwa nini usipande daladala hadi utakapojaaliwa kupata la kwako??
 
Sipendi lift za jinsia mbili tofautiUtaishia ku-compromise mambo mengi tu.Kwa nini usipande daladala hadi utakapojaaliwa kupata la kwako??

Kesho nitakupa lifuti kwenye baiskeli yangu,is there any problem?Halafu mi nyoka wa bujora,sing'atagi kabisa,dada yangu King'ast ananiambiaga eti mi kibogoyo,meno hayapo.So worry not!!
 
Una maoni gani kwa subordinate mwanamke anapoomba apewe lift na boss wake mwanamke mara kwa mara au kwa sababu wanakaa eneo jirani au boss anapita njia karibu na makazi ya mdada? lift za au asubuhi au asubuhi na jioni?mahusiano haya yana madhara yoyote kwa ndoa ya boss mwanaume au mdada?waweza pia tumia uzoefu wa maisha ya kila siku.

Lift kiujumla hina madhara makubwa sana kwenye mahusiano ya kimapenzi, iwe wapenzi tu, wachumba hata wanandoa.
Haijarishi Boss ni nani, awe mwanaume au mwanamke ampe lift mfanyakazi wa jinsia tofauti asubuhi na jioni inasababisha madhara makubwa sana kwa wanandoa inaweza kupelekea ndoa kuvunjika.
 
Una maoni gani kwa subordinate mwanamke anapoomba apewe lift na boss wake mwanamke mara kwa mara au kwa sababu wanakaa eneo jirani au boss anapita njia karibu na makazi ya mdada? lift za au asubuhi au asubuhi na jioni?mahusiano haya yana madhara yoyote kwa ndoa ya boss mwanaume au mdada?waweza pia tumia uzoefu wa maisha ya kila siku.

Still searching!!!!!
 
Aiseee baba yangu huu uzi sijauelewa

ngoja nipige fundo la mbege
 
boss kutoa lift kila siku? hapana..sasa siku mfanyakazi kafanya kosa kazini akafokewa na bosi itakuaje? bado atapewa lift..
 
Back
Top Bottom