Light should be among the states of mater

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
Mwanga (According to wave particle duality) Huwa umebeba particles in form of photons na sometime Huwa znakuwa in wave form.

Kutokana na kwamba photons Huwa zko in motion all the time ndo inakuwa ngum kupima mass ya mwanga, nazan hii sifa ndo iliwafanya wanasayansi washindwe kuuweka mwanga kwenye aina za mada

Mimi nawashauri wanasayansi wabadirishe definition ya what is matter harafu then mwanga uingie kwenye aina za mada.

Yaan kuwe na aina Tano za mada ambazo ni:

1. Solid eg stone,house ice
2. Liquid eg water
3. Gas eg Nitrogen
4. Plazma eg liquid heated at high temperature
5. Light eg red, yellow, blue ECT

Mwanafunzi akifundishwa hivyo itakuwa rahisi sana kuuelewa mwanga kuliko ilivyo Sasa. Maana saiz kusema ukweli wanafunz wanamakiza hata chuo kikuu lakini cha kushangazaga ukimuuliza kuhusu mwanga hatoi majibu ya kuridhisha.

Karibu Kwa maoni wadau wa elimu hasa hasa Sayansi
 
Mwanga (According to wave particle duality) huwa umebeba particles in form of photons na sometime Huwa znakuwa in wave form.

Kutokana na kwamba photons Huwa zko in motion all the time ndo inakuwa ngum kupima mass ya mwanga, nazan hii sifa ndo iliwafanya wanasayansi washindwe kuuweka mwanga kwenye aina za mada.

Mimi nawashauri wanasayansi wabadirishe definition ya what is matter harafu then mwanga uingie kwenye aina za mada.

Yaan kuwe na aina Tano za mada ambazo ni

1. Solid eg stone,house ice
2. Liquid eg water
3. Gas eg Nitrogen
4. Plazma eg liquid heated at high temperature
5. Light eg red, yellow, blue ECT

Mwanafunzi akifundishwa hivyo itakuwa rahisi sana kuuelewa mwanga kuliko ilivyo Sasa. Maana saiz kusema ukweli wanafunz wanamakiza hata chuo kikuu lakini cha kushangazaga ukimuuliza kuhusu mwanga hatoi majibu ya kuridhisha.

Karibu Kwa maoni wadau wa elimu hasa hasa Sayansi
 
Definition ya matter haina tatizo na hakuna haja ya kubadilishwa. The thing is, kuna uhusiano kati ya matter na energy na zote ni inter-convertible to one another nikimaanisha unaweza kutransform matter kwenda kwenye energy and vice-versa. Acc Einstein special relativity matter is another form of energy (hii ndo inatupa majibu sasa kwanini ni inter-convertible)
Turejee kwenye mwanga, acc. planck's quantum theory energy ya mwanga (or any radiation) is quantized, ikimaanisha energy inapatikana in packets (discrete amount) we call them quanta (a single quantum carries Energy, E=hf) , so unapooana mwanga (any radiant energy) inakujia this means you're observing quanta of energies (n*hf) coming to you at the same speed kama huo mwanga wenyewe. So tuko na packets (like vifurushi, that's how energy ya mwanga inavyosafiri) za energy zinakuja at speed C, acc. to Einstein special relativity mass-Energy are convertible, given by E=mc². This means kama observer anaface energy ya E=hf inamkujia at speed C ni sawa na kusema there is a mass of m=hf/C² inakuja which implies a particle (we call them photons) . Hii ndo inafanya mwanga kuonesha duality (both waves and particle behaviors). But utofauti wa hii particle na particle ya kawaida is that all of their mass is available as energy hii inamaanisha ziko na relativistic mass tu so zitaexist only as long ziko kwenye motion amd they will never come to rest(principle of conservation of Energy)
All of this, hazina tofauti yoyote na definition ya kawaida ya maada ila tu imetuongezea knowledge kwamba mass/matter and energy are interconvertible (matter is another form of energy) kitu ambacho earlier scientists hawakugundua mpaka karne ya 20
 
Light is not matter, it is a wave.

It does not occupy space, it passes through it.
 
Kuna difficult concepts to conceptualize....eg space-time concept, relativity theory........special theory of relativity. Does light occupy space
 
Mkuu samahani kidogo, hivi liquid heated at high temperature si inageuka kuwa gas? Embu nitoe tongotongo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…