Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haa. Ina maana YeboYebo wangekuwa wameshuka daraja! Ngoja wapigwe tena leo na Mtibwa waendelee kuburuza mkia.
halafu wangapi vile wapo timu ya taifa?
simba na yanga zina ua soka la bongo
Hapa tupo pamoja, TFF imejaa upambe zaidi na utovu wa nidhamu miongoni mwao.soka ni TFF haina utalaam wakuendesha soka ndo maana hat ligi yetu mbovu