MwanaFalsafa1 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 5,565 Reaction score 843 May 21, 2009 #1 Je ni ligi ipi kati ya hizi ina kuvutia zaidi? Kwa nini?
Sinkala JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 1,773 Reaction score 688 May 21, 2009 #2 Hakuna jibu sahihi kati ya hizo choice. Ongeza NBA katika hizo choice zako ili liwepo jibu sahihi miongoni mwa hizo.
Hakuna jibu sahihi kati ya hizo choice. Ongeza NBA katika hizo choice zako ili liwepo jibu sahihi miongoni mwa hizo.
Kyakya JF-Expert Member Joined Apr 24, 2009 Posts 398 Reaction score 24 May 21, 2009 #3 Sinkala said: Hakuna jibu sahihi kati ya hizo choice. Ongeza NBA katika hizo choice zako ili liwepo jibu sahihi miongoni mwa hizo. Click to expand... Yah, ilitakiwa ijulikane ni league ya mchezo gani! Maana kuna ligi nyingi. Nadhani alimaanisha Mpira wa Miguu (Soccer).
Sinkala said: Hakuna jibu sahihi kati ya hizo choice. Ongeza NBA katika hizo choice zako ili liwepo jibu sahihi miongoni mwa hizo. Click to expand... Yah, ilitakiwa ijulikane ni league ya mchezo gani! Maana kuna ligi nyingi. Nadhani alimaanisha Mpira wa Miguu (Soccer).
Kyakya JF-Expert Member Joined Apr 24, 2009 Posts 398 Reaction score 24 May 21, 2009 #4 Mi nadhani Ligi Kuu Tanzania Bara ni bora sana, kwa sababu ni ligi ya nyumbani na nina uwezo wa kuiona live wakati wowote ikichezwa maeneo ninayoishi.
Mi nadhani Ligi Kuu Tanzania Bara ni bora sana, kwa sababu ni ligi ya nyumbani na nina uwezo wa kuiona live wakati wowote ikichezwa maeneo ninayoishi.