Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,319
Kwa mujibu wa Barua ya Bodi ya Ligi Kuu iliyotumwa kwa vilabu vya ligi kuu, sasa Ligi hiyo itaanza rasmi Septemba 12 badala ya Agosti 22 kama ilivyokuwa imepangwa hapo mwanzo.
Mabadiliko yamefanyika ili kuiruhusu timu ya Taifa imalize programu yake ya maandalizi kwa ajili ya mechi ya kufuzu Mashindano ya Afrika dhidi ya Nigeria itakayochezwa Septemba 5 mwaka huu.
Mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Azam na Yanga sasa utachezwa Agosti 22 badala ya Agosti 15 kama ilivyokuwa imepangwa awali.