Ligi Kuu Bara 2015/16 sasa kuanza Septemba 12

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,319
Kwa mujibu wa Barua ya Bodi ya Ligi Kuu iliyotumwa kwa vilabu vya ligi kuu, sasa Ligi hiyo itaanza rasmi Septemba 12 badala ya Agosti 22 kama ilivyokuwa imepangwa hapo mwanzo.

Mabadiliko yamefanyika ili kuiruhusu timu ya Taifa imalize programu yake ya maandalizi kwa ajili ya mechi ya kufuzu Mashindano ya Afrika dhidi ya Nigeria itakayochezwa Septemba 5 mwaka huu.

Mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Azam na Yanga sasa utachezwa Agosti 22 badala ya Agosti 15 kama ilivyokuwa imepangwa awali.

 
Wameanza. Ratiba inapanguliwa hata ligi yenyewe haijaanza. Ikianza sijui itakuaje!!
 
Mtani jembe nayo lini tushuhudie makocha wakifungashiwa virago mapema mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…