Ligi Kuu Bara, 7 & 8 Februari 2015

Dakika ya 42 coastal u 0-0 simba.
 
Mtangazaji azam tv amenifanya nipunguze sauti ya tv, wanakera sana hawa. Mtu amefanyiwa faulo halafu eti mtangazaji anasema kafanyiwa faulo kidogo.
 
Dak 2+ za nyongeza coast 0-0 simba.
 
ndo watangazaji wa AZAM walivyo wazoee tu. mi huwa natizama tu siwasikilizi ni wa hovyo sana. hawai hta kutangaza mipira ya ndondo.huwa naweka mute.
 
Mpira mapumziko coast 0-0 simba.
 
NGANU huyu naye anapenda hali hiii.... nmemwambia basi aaamke hataki. basi ndo hivyo nmeendelea kumpaka huku tunataka kusikiliza mpira hiyo TBC INASHIKA channel gan kwnye FM? frequency zake ni ngapi?

Komeo Lachuma kikaragosi changu, naona roho inagonga gonga hapo na leo mbona pamepoa sana humu. Ila tungekuwa tunacheza Yanga nyomi ile mbaya.
Huyo dada uliyemkamatia mwachie mwenzako, leo ni siku ya kujiremba masalon wewe.
 
Last edited by a moderator:
Mlioko Nangwanda Mtwara tupeni yanayojili huko, mpambano kati ya Ndanda kuchele vs Wabeba mizigo wa shinyanga (stand united)
 
Mbona jamii ya mikia fc siioni humu!!!
 
Mpira second half umeanza,anagonga Shabalala...mpira unakuwa wa kurusha kwenda Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…