Ligi Kuu Bara: Klabu ya Yanga imeshindwa kung'ara mbele ya Klabu Singida Utd baada ya kutoka sare ya goli 1-1

singida wanacheza km wana mgomo
Wanahofia majeruhi, watacheza Azam Federation Cup siku kumi zijazo, ambalo ni muhimu zaidi kwao kuliko mechi za VPL zilizobaki kwani hawana nafasi ya ubingwa huku
 
Yanga 3-1 Singida hawa madogo wanataka kutuzoea.
 
Wanahofia majeruhi, watacheza Azam Federation Cup siku kumi zijazo, ambalo ni muhimu zaidi kwao kuliko mechi za VPL zilizobaki kwani hawana nafasi ya ubingwa huku
EPL muhimu ukipigwapigwa unashuka daraja
 
azam cup singida hachomoki kwa mtibwa, bora ajitume tu vpl awe wapili
 
EPL muhimu ukipigwapigwa unashuka daraja
Singida position aliyopo hashuki daraja wala hashiki namba mbili, achia mbali ubingwa. Lakini kule kwenye Azam Federation Cup akiizifunga timu mbili tu anaiwakilisha nchi kwenye kombe la shirikisho. Sasa unadhani wapi ataelekeza macho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…