Wanaongeza point moja umesomekaYanga wanaongeza hapa
Yanga 1-1 Singida UnitedMatokeo VP mkuu !??
Mkuu acha masiharaFt: Yanga 2 - Singida 1
[emoji460]️ Mo Salah
Vyura fc wameshindwa kufurukuta kwenye uwanja wa Taifa, wakiambulia sare.Matokeo VP mkuu !??
Achana naye, anawakebehi mashabiki wa Yanga. Wametoa droo 1-1Mkuu acha masihara
Yaani acha tu.Hawa Singida wamejua kunifuta kilio changu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu sikuhizi wameanza kuwa na ile tabia ya Mbao FC [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mdomdo kuelekea ubingwaSIMBA JUU POINT 5
No kiporo
No ugoro
Yanga uchochoro
Kawanyoosha vidomo vimeishaYaani acha tu.
SIMBA JUU POINT 5
No kiporo
No ugoro
Yanga uchochoro