Ligi Kuu Bara Oktoba 16 2016: Yanga SC 0, Azam FC 0

sasa wewe na yeye nani kaanza kushabikia mpira akiwa na ndevu!, au Azam ikianzishwa we ulikua unanyonya
 
niliposikia Kipre ameondoka nilijua wqtakuwa na wakati ngumu jamaa anajua sana na anauwezo Wa kulazimisha goli...

Hapo Umeongea Points Mkuu! Mimi Siku Aliyoondoka Kipre Nilijua Kuwa Azam Haitatafuta Mbadala Kwa Kumuamini Boko Jambo Ambalo Ni False Hope...
Lakini iwapo Azam Wataamka na Kutafuta Foward Asiyependa Matani Na Nyavu! Basi Hapo Azam itakuwa Timu ya Kutisha Ndani ya East Africa na Sio Tanzania Pekee...
 
sasa wewe na yeye nani kaanza kushabikia mpira akiwa na ndevu!, au Azam ikianzishwa we ulikua unanyonya
Tatizo umelala kwenye reli huku treni ya kwenda pugu ikipiga honi..huyo nilimjibu hivyo sababu kasema Azam tukumbuke tulikuwa nyumbani ndomana nikamwambia labda hajui mpira haujui sababu hauna nyumbani wala ugenini kila mtu anatafuta ushindi na unaweza pigwa sehemu yoyote iwe kwako au ugenini na mtu ambaye anafahamu/anajua mpira hawezi zungumza kauli kama yake ya kusema tulikuwa nyumbani..
 
Hivi huyu mchezaji anamfanya nini huyu mwenzake aliyebebwa na mzee was magoli ya mkono? [emoji2] [emoji2]

 
Kama Droo Za Kabati Basi Huwa Tunafungua Baada Ya Kila Mechi Kuhifadhi Points Zetu.. Wewe Endelea Kuweweseka Wakati Mimi Hapa Naangalia Namna Gani Nijiandae Kusherehekea Ubingwa..
Hahahahahahaaaa nimeona avatar yko pia ww ni mpizani wangu ulaya imekaa vzuri tuonane kesho ucku ww jogooo
 
Mkuu kwenye soka la kisasa mpira ni magoli , yale mambo ya chenga twawala ndio yaliyoigharimu KMKM ya unguja , kuna uzi niliuweka humu unazungumzia hii habari ya Azam , zimo hoja mle ndani , utafute uusome , Kuanza upya sio ujinga .
 
Hahahahahahaaaa nimeona avatar yko pia ww ni mpizani wangu ulaya imekaa vzuri tuonane kesho ucku ww jogooo

Zipo Thread Zetu 2 Maalum Humu JF Za Mimi Na Wewe Kukutana Kwa Ajili Ya Tomorrow Night Na sio Hapa..
 
Mkuu kwenye soka la kisasa mpira ni magoli , yale mambo ya chenga twawala ndio yaliyoigharimu KMKM ya unguja , kuna uzi niliuweka humu unazungumzia hii habari ya Azam , zimo hoja mke ndani , utafute uusome , Kuanza upya sio ujinga .

Na Ndiyo Maana Nilipo kuQuote Nikaeka Na Suluhisho Kuwa Wapatengeneze Panapostahiki na Sio Kufukuza Wachezaji... Tatizo ni CF (Mmalizaji)... Kwahiyo Watafute Striker Mwenye Maamuzi Sahihi Aje Azibe Ufa Ulioachwa na Kipre...
 
Gemu Ya leo imenipa Picha Kumbe Hawa CHANETA FC Kama Hawajapata Mbeleko hawawezi Kushinda Gemu Hata Wacheze na Vipofu..
 
Vipi Hujaishia ICU lakini baada ya Mechi Kumalizika? Manake inaonesha Baada Ya Kukodisha Timu, Sasa Mpaka Ushindi Munakodisha...

Ligi bado sana ndugu yangu. Na kumbuka pia huu ni mzunguko wa kwanza. Usitegemee hizi point mnazookota mtaokota pia mzunguko ujao.

Au mmesahau kuwa kuna msimu mlimaliza ligi mkiwa hamjapoteza hata mechi moja na ubingwa mkaukosa?

Wekeni akiba ya maneno msije mkaanza kutengeneza madraw ya kabati mwisho mkakimbia jukwaa kama alivyofanyaga ndugu yenu grafani11
 
Mechi ikiisha hivi ina maana game 8 point 15. Huku ile Mipaka game 9 point 23. Gap la Point 8 kubwa sana.


Usijali kuhusu hilo.

Wamecheza mechi moja tu nje ya Dar!

Wanastahili kuwa mahala pale, ila wakianza kufululiza huko mikoani ndio utaanza kuona madroo ya kabatini yakitoa mende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…