Ligi bado sana ndugu yangu. Na kumbuka pia huu ni mzunguko wa kwanza. Usitegemee hizi point mnazookota mtaokota pia mzunguko ujao.
Au mmesahau kuwa kuna msimu mlimaliza ligi mkiwa hamjapoteza hata mechi moja na ubingwa mkaukosa?
Wekeni akiba ya maneno msije mkaanza kutengeneza madraw ya kabati mwisho mkakimbia jukwaa kama alivyofanyaga ndugu yenu grafani11
hata azam na yanga hatujacheza nao...
Usiwaze sana kuhusu hawa jamaa!
Ndio kipindi chao hiki.
Kumbuka: wamecheza mechi 1 tu nje ya Dar!
hata azam na yanga hatujacheza nao...
Usijali kuhusu hilo.
Wamecheza mechi moja tu nje ya Dar!
Wanastahili kuwa mahala pale, ila wakianza kufululiza huko mikoani ndio utaanza kuona madroo ya kabatini yakitoa mende.
Nyie uwekezaji wa Bil 11.6 mlizokopa kwa Yanga Yetu(Yusuf Manji) ni mdogo !? au zenu ni kuhonga marefa tu...Yanga cjui nn kimewafanya kucease ile kasi yao timu haina kasi kabisa mpira unachezwa bila plans Leo huu mchezo ulikuwa wakishinda kabisa Afu Aggrey morris naona km kapewa kazi ya kuvunja taya tu wachezaji wa timu pinzani pia Yule namba 3 mgongoni cjui nan tu nae km hawezi mpira akacheze rugby au mieleka Bakhresa inunue MBAO FC Azam Ukweli mwaka huu wametepeta mpaka nashindwa kuelewa uwekezaji wote huo timu ikijitahidi sana uwanjani inaishia kuvunja taya tu wachezaji wa timu pinzani!!!
Mkuu gharama za kuendesha mpira nadhani unazijua pia unaona kabisa hali ya msimu uliopita kushiriki CAF&Federation cup ni Gharama mzee japo hatukupata mafanikio pia Mkuu kitu ambacho unachotakiwa uondoe akilini mwako Ww Na mashabiki wengine wa simba KUWA YANGA HATUONGI WALA HATUBEBWI msipo badili huo mtizamo wenu mtaendelea kuvunja VITI Kila mechi tukicheza na nyinyi!!!?Nyie uwekezaji wa Bil 11.6 mlizokopa kwa Yanga Yetu(Yusuf Manji) ni mdogo !? au zenu ni kuhonga marefa tu...
dua la KUKULigi bado sana ndugu yangu. Na kumbuka pia huu ni mzunguko wa kwanza. Usitegemee hizi point mnazookota mtaokota pia mzunguko ujao.
Au mmesahau kuwa kuna msimu mlimaliza ligi mkiwa hamjapoteza hata mechi moja na ubingwa mkaukosa?
Wekeni akiba ya maneno msije mkaanza kutengeneza madraw ya kabati mwisho mkakimbia jukwaa kama alivyofanyaga ndugu yenu grafani11
acha kujichetua.... ni msimu gani Simba walimaliza bila kufungwa wakakosa ubingwa??
Usiwaze sana kuhusu hawa jamaa!
Ndio kipindi chao hiki.
Kumbuka: wamecheza mechi 1 tu nje ya Dar!
Jana tu Azam kanyiwa penalty mbili za wazi ikiwemo ile ya Yondan halafu unasema hambebwi?Mkuu gharama za kuendesha mpira nadhani unazijua pia unaona kabisa hali ya msimu uliopita kushiriki CAF&Federation cup ni Gharama mzee japo hatukupata mafanikio pia Mkuu kitu ambacho unachotakiwa uondoe akilini mwako Ww Na mashabiki wengine wa simba KUWA YANGA HATUONGI WALA HATUBEBWI msipo badili huo mtizamo wenu mtaendelea kuvunja VITI Kila mechi tukicheza na nyinyi!!!?
Mbovu mmoja ameshinda ubingwa mara 1 tangu mara ya mwisho achukuke ubingwa.
na
Mbovu mwingine kabeba ndoo 3 za ubingwa tangu mara ya mwisho simba awe bingwa.
acha kujichetua.... ni msimu gani Simba walimaliza bila kufungwa wakakosa ubingwa??
msimu waliomaliza bila kufungwa ndo walikukung'uta 5-0 na ubingwa juu !!
Jana mmebebwa na mechi ya Simba na Yanga mlibebwa hata Mungu anajua...Mkuu gharama za kuendesha mpira nadhani unazijua pia unaona kabisa hali ya msimu uliopita kushiriki CAF&Federation cup ni Gharama mzee japo hatukupata mafanikio pia Mkuu kitu ambacho unachotakiwa uondoe akilini mwako Ww Na mashabiki wengine wa simba KUWA YANGA HATUONGI WALA HATUBEBWI msipo badili huo mtizamo wenu mtaendelea kuvunja VITI Kila mechi tukicheza na nyinyi!!!?
Ligi bado sana ndugu yangu. Na kumbuka pia huu ni mzunguko wa kwanza. Usitegemee hizi point mnazookota mtaokota pia mzunguko ujao.
Au mmesahau kuwa kuna msimu mlimaliza ligi mkiwa hamjapoteza hata mechi moja na ubingwa mkaukosa?
Wekeni akiba ya maneno msije mkaanza kutengeneza madraw ya kabati mwisho mkakimbia jukwaa kama alivyofanyaga ndugu yenu grafani11
Mkuu unabishana na chizi achana nae...Hayo Masihara sasa, yaani timu imalize msimu bila kupoteza halafu isichukue ubingwa?
Mimi ninayokumbuka ya Simba kumaliza msimu bila kupoteza ilikuwa ni msimu wa 2009/2010 na ilitangaza ubingwa huku ikiwa imebakiza mechi mbili na hizo mechi mbili haikupoteza. Jumla ilishinda mechi 18 na droo nne.
Labda kama unaweza kunikumbusha huo msimu ambao Simba alimaliza bila kupoteza na hakuchukua ubingwa ilikuwa ni msimu gani?
Hv unafikiri Penalti zinatolewa simple tu!!! Rafu za Aggrey Na yule namba tatu mgongoni pasi kumsahau Nyoni ulikuwa umelalaJana tu Azam kanyiwa penalty mbili za wazi ikiwemo ile ya Yondan halafu unasema hambebwi?
Endelea kuamini hivyo hivyo mkuu ili viti muendelee kung'oaJana mmebebwa na mechi ya Simba na Yanga mlibebwa hata Mungu anajua...
halafu msimu uliopita mechi zenu zote timu pinzani zilizokuwa zinatoa upinzani lazima wapewe kadi nyekundu na penati za magumashi...hizo kambi za Uturuki ndiyo ilikuwa kutakatisha deni lenu la Bil 11.6!? kweli huku kunaitwa kushikwa kwa Vyura fc...
Tutabadilisha mbinu ila kumbuka kung'oa viti tuliiga kwenu mlipo cheza na to mazembe bado ya kupiga refa tunaifanyia kazi kuona kama inatufaa....Endelea kuamini hivyo hivyo mkuu ili viti muendelee kung'oa
Nimecheka mno...!Tutabadilisha mbinu ila kumbuka kung'oa viti tuliiga kwenu mlipo cheza na to mazembe bado ya kupiga refa tunaifanyia kazi kuona kama inatufaa....
kila mtu aliona mlivyobebwa ndugu yangu.... na nitazidi kushangaa ikiwa bodi ya league ikiwaacha wamuzi wa jana hasa Israel Nkongo bila adhabu yoyote kwa mbeleko waliyoinyesha kwenu janaHv unafikiri Penalti zinatolewa simple tu!!! Rafu za Aggrey Na yule namba tatu mgongoni pasi kumsahau Nyoni ulikuwa umelala