Ligi Kuu Bara Oktoba 16 2016: Yanga SC 0, Azam FC 0

Mbeleko FC naona Style Ya Kukodisha Timu Kama Chumba Cha Gesti imewadhuru... Mwaka Huu Ninajiandaa Kutafuta Suti Moja Kali Sana Kwa Ajili Ya Kusherehekea Ubingwa Ndani Ya Msimbazi Kwani Simba Hakuna Wa Kuizuia..
 
Mbeleko FC naona Style Ya Kukodisha Timu Kama Chumba Cha Gesti imewadhuru... Mwaka Huu Sina Hasa Sababu Ya Kutafuta Suti Moja Kali Sana Kwa Ajili Ya Kusherehekea Ubingwa Ndani Ya Msimbazi Kwani Simba Hakuna Wa Kuizuia..
MKUU mie nishanunua suti[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Asanteni sana 'ndugu zetu' Azam.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ingawa Wametupa Faraja Hawa Azam Kwa Kumbana Mkodisho FC, Lakini iwapo Watasaini Foward Mzuri Wanaweza Kupata Nafasi Ya Pili Kwasababu Ya Kwanza Ni Yetu Simba.
 
Hizi timu zimemwachia mnyama ajitanue...ni ngumu sana hizi timu kupata nafasi mhimu mwaka huu
 
We mpira umeacha kushabikia mwaka gani? Ndomana ukaambiwa mpiraunadunda hauna nyumbani wala ugenini..unapigwa tu ukipokonyoka sare kama hivi..
Ww ndio ujui mpira alie nyumbani akipata droo kwake ni aibu fungua macho shabiki wa simba uliehamia azam kwa muda.
 

Kumbe Bado wewe Unaweweseka Na imani Yako Potofu Ya Kuamini Kuwa Nyinyi Vyura FC ni Wakimataifa?? Pole Mkuu...
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ingawa Wametupa Faraja Hawa Azam Kwa Kumbana Mkodisho FC, Lakini iwapo Watasaini Foward Mzuri Wanaweza Kupata Nafasi Ya Pili Kwasababu Ya Kwanza Ni Yetu Simba.
Kweli kabisa Mkuu.. Kumtegemea Boko pekee akupe ubingwa.. hili nalo ni tatizo.
 
Jamani matokeo vip nipo mbali namkulima wangu

Nitafurai sana km yanga hajashinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…