Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,844
Ndo matatizo ya kushabikia mpira mkiwa mmeota ndevu tayari,hivi Yanga aliingia uwanjani kwa nia ya kufungwa? Na umetumia darubini gani/ramli ipi kujua mimi shabiki wa Simba? Sababu Sijawahi ipenda Yanga wala Simba...nilivutiwa na namna Azam FC walivyo kuanzia uongozi mpaka wachezaji na toka inaanza nipo nao ila kabla ya hapo mi ni Die hard fan wa Vijogoo vya Anfield.Ww ndio ujui mpira alie nyumbani akipata droo kwake ni aibu fungua macho shabiki wa simba uliehamia azam kwa muda.
Haha.. Kweli msimu huu KazitunayoHahaha leo wanakuambia me sishabikii mpira wa makaratasi
OK utakuwa uzao wa 1990 usijali mkuu nimeelewa nitakuwa nabishana na mwanangu kumbe!Ndo matatizo ya kushabikia mpira mkiwa mmeota ndevu tayari,hivi Yanga aliingia uwanjani kwa nia ya kufungwa? Na umetumia darubini gani/ramli ipi kujua mimi shabiki wa Simba? Sababu Sijawahi ipenda Yanga wala Simba...nilivutiwa na namna Azam FC walivyo kuanzia uongozi mpaka wachezaji na toka inaanza nipo nao ila kabla ya hapo mi ni Die hard fan wa Vijogoo vya Anfield.
Tumeshauri kitambo humu kwamba wachezaji wote wa azam watimuliwe , timu ianze upya .
Ukiishiwa maneno basi unajua kila mtu saizi yako,lakini pengine tungeonana tungeheshimianaOK utakuwa uzao wa 1990 usijali mkuu nimeelewa nitakuwa nabishana na mwanangu kumbe!
Kweli Vyura FC wamechanganyikiwa yaani serous kabisa wanamtegemea stand United ndiyo atusimamishe baada ya wao na marefa kutushindwa...Mlisema hivi hivi, tulipoanza ligi.. Mlianza ngoja akutane na Mtibwa.. Tukamgonga.. Mkaja ngoja akutane na Azam.. Tukamgonga.. Mkaendelea ngoja akutane na Yanga.. Mkabebwa.. Hamkutosheka, ngoja akutane na Mbeya City.. Tukamgonga.. Sasa naona mmegawanyika.. Wengine ngoja mkutane na Toto.. Wengine na Stand United.. Na nadhani tukishawagonga hao.. Mtaamia majimaji
niliposikia Kipre ameondoka nilijua wqtakuwa na wakati ngumu jamaa anajua sana na anauwezo Wa kulazimisha goli...Kutimua Wachezaji Wote Sio Suluhisho wala Si Katika Kujenga Timu! Kama Ni Mfatiliaji Mzuri Wa Mechi Za Azam Basi Utanikubali Kuwa Timu inayoongoza na Kutamba na inayojua Kupress Soccer hapa TZ ni Azam! Mimi ingawa ni Mnazi wa Simba Basi Naikubali Sana Azama Katika Kucheza na Kumiliki Mpira..
Point ya Hayo Niliyoyasema ni Kwamba Azam ni Timu Yenye Wachezaji Wazuri kwa Hapa Tanzania! ila Tatizo lao ni Moja tu.. Hawana Stricker Mbadala Wa John Boko...
Suluhisho la Azam si Kufukuza Wachezaji! Bali Ni Kusaini Stricker Ambaye atakuwa Mmalizaji wa Uhakika Kwani Ukiangalia Mechi Ya Leo Azam Wamepoteza Nafasi Za Wazi Kwa Kushindwa Umaliziaji tu..
Hapa wameonyesha kwanini walufungwa goli moja moja na Stand united...Wahanga wa stand United wamekubaliana kutofungana
Inabidi tushinde hii game na mbili zijazo then simba akakalie Mbao ili Timu ya wananchi Turudi kwenye usukani wetu
Ndyo shidaa yenu subiri muanze kufungua madroo yenu
HajashindaJamani matokeo vip nipo mbali namkulima wangu
Nitafurai sana km yanga hajashinda
Ni kweli ila nasubiri gemu ya simba na stand utd
Another draw at our disposal gap analoenda nalo simba kubwa sana. Hii game inabidi tushinde juu chini.
Ubingwa mtaendelea kuusikia hivohivo, mabingwa wametulia...fukuzeni upepo kama kawaida yenu wazuu wa matopeni wakwamua mabasiKama Droo Za Kabati Basi Huwa Tunafungua Baada Ya Kila Mechi Kuhifadhi Points Zetu.. Wewe Endelea Kuweweseka Wakati Mimi Hapa Naangalia Namna Gani Nijiandae Kusherehekea Ubingwa..
Imeshakataaaa hiyoooo[emoji23] [emoji23]Inabidi tushinde hii game na mbili zijazo then simba akakalie Mbao ili Timu ya wananchi Turudi kwenye usukani wetu