Labda mkaliibe hilo kombe,ndio njia pekee ya kulipata.Simba mwaka huu lazima achukue ubingwa. Ile ndoa ya Malinzi na Yanga iliyokuwa inawasaidia kuchukua ubingwa ilishaisha tangu waliporuhusu watu waingie bure katika mechi ya TP Mazembe na zaidi bosi wenu Manji keshaishiwa nandaiwa pango na kodi.
Hatuna haja ya kuliiba mkuu.Mchana kweupe tunalinyanyua pale taifa.Labda mkaliibe hilo kombe,ndio njia pekee ya kulipata.
Kuota ruksa,ila kutimia ndio kitu HAKITOWEZEKANA.Hatuna haja ya kuliiba mkuu.Mchana kweupe tunalinyanyua pale taifa.
Muda utasema.Kuota ruksa,ila kutimia ndio kitu HAKITOWEZEKANA.
Nyinyi ndio mlikuwa ndotoni,lakini sisi tunaishi ktk uhalisia,ligi ilikuwa na mechi za mzunguuko wa kwanza mlishaanza kelele za ubingwa.Muda utasema.
yule mkata umeme mtamwita mkata majani.
Mdogomdogo tu!Simba mwaka huu lazima achukue ubingwa. Ile ndoa ya Malinzi na Yanga iliyokuwa inawasaidia kuchukua ubingwa ilishaisha tangu waliporuhusu watu waingie bure katika mechi ya TP Mazembe na zaidi bosi wenu Manji keshaishiwa nandaiwa pango na kodi.
wamekuwa wakiota ubingwa tangu mwaka 2012....Kuota ruksa,ila kutimia ndio kitu HAKITOWEZEKANA.