Penati gani hiyo?Ilikuwa ni penati ila sio mchongo kulia lia penati kwenye timu kama hii
Too softIlikuwa ni penati ila sio mchongo kulia lia penati kwenye timu kama hii
Jamani huyu si ndiyo mnamuita Donkey?Muzamiru kuna kitu huwa anampa Matola
MndukuMuzamiru kuna kitu huwa anampa Matola
Bocco aliuoiga mpira kufunga goli ila beki wa KMC akautuliza ukadunda uliporudi juu ukagusa mkonoPenati gani hiyo?
Mapema sana mkuu,acha uoga mnaweza shinda njaa usijaliTusitegemee maajabu kwa hii menejiment
Emb tulia mkuuHuyu Israh analipwa mshahara au anajitolea?
Duuh naona mambo yanabadilikaUnanipa moyo eeee
HahahahaBalaaa hili jamani
Huu msimu simba itateseka saaanaMamaeeee umbea tu,ulimi nje
Refa yuko sahihi kabisa hakuna penaltyBocco aliuoiga mpira kufunga goli ila beki wa KMC akautuliza ukadunda uliporudi juu ukagusa mkono
Hahahaha leo Phiri si yupo lakini?Hii team akuna wachezaji kabisa