Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Matola ni kijana wetu,lazima tumleeMatola hafai
Makolo wamepagawaAkishinda utayasema hayo pia? Mikia buana
Ha ha ha ha ha ha haKMC wamepaka mkongo
Sema mwanangu nakukubali sanaDakika ya 69'
Simba bado hsifanyi mashambulizi zaidi nsona KMC wakishambulia zaidi
Acha matusiMuzamiru kuna kitu huwa anampa Matola
Kwa goli hili kama litakuwa la ushindi,acha tukatwe kodi tuKMC wamepiga Bonge la goli linaweza kufuta tozo zote
Boko jembe weweHii Mechi Hata draw Hatupati Halafu Tuone hata Kama Huko Malawi Tutashindaaa
Una Okwa Nje Unamuweka Bocco
Wanacheza hii mechi kwenye uwanja gani! Naona mashabiki wameshapagawa! Hawamtaki tena Matola! 😁😁Makolo 1 - 2 KMC DKK 73
Angalau alionja wakati wa international breakSIMBA PALE JUU ENDAPO AKIFUNGWA HII GAME HATOKAA MPKA MSIMU UISHE