Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-1 KMC FC | Uwanja wa Mkapa | Juni 19, 2022

Hii simba isipofanya usajili wa maana, msimu ujao tutawapiga mechi zote. Sioni tena uwezekano wa sare ya kubahatisha kutoka kwao!

Imagine Yanga ikutangulie goli moja! Hivi utabadili vipi matokeo na kushinda kwa 3-1!! Yaani kwa wale mabeki na viungo makatili, ndiyo akina Kibu D wapite tu kirahisi! Big No ✖️
 
Hizi subs si zinafanywa kwa awamu tatu, mbona Simba leo wamefanya kwa awamu ine?
 
haa wapi,mmesajili mshambuliaji kimeo mechi 48 goli moja.mwakani mtabuma.
 
Leo Kibudenga kashinda basi pitia kwenye uzi wako wa takwimu Vs Mayele ukaweke rekodi Sawa hata kusalimia tu kama hilo huwezi.
Lile goli hata yeye mwenyewe alijisikia aibu kushangilia! Maana alijikuta tu mpira umemgonga kwenye ugoko, na kuingia golini!
 
Bora huyu kavua kwenye ligi kuu, sasa fei toto wenu alivua jezi kwa kufunga goli mapinduzi cup tena timu ya mtaani ya Zanzibar.
Iweke hapa tuone la sivyo ni umbea kama wa Da Mange!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…