Sasa hayo maswali ungemuuliza aliyeleta habari za djumaDjuma shaban alicheza kaizer chiefs? Unafanyaje ulinganisho wa namna hiyo? Mazingira ya Djuma Shaban ni sawa sawa na aliyokutana nayo Kambole? Je Djuma Shaban angeweza kupata nafasi kwenye kikosi cha Kaizer Chiefs? Kuna vitu vingi vya kujiuliza zaidi
Ni kama vile yule Phiripo na yeye imebaki miezi 5 na siku 28Hivi tunavyoongea imebaki miezi mitano na siku 28
na nafasi ya 14 vilabu barani Afrika itawahusu piaNa makolo mkiendelea kufanya usajili wa kina Akpan kutoka Nigeria ya Tanga,nafasi ya 4 kwenye msimamo wa ligi next season unawahusu
Huko barani Afrika na hao wana kina Akpan na kapama ndo zile tano tano zitarudi mahala pakena nafasi ya 14 vilabu barani Afrika itawahusu pia
Ukiogopa tano tano za Afrika hutafika popote, utaishia kupokea wageni. Ni sawa na kijana anayeogopa kwenda shule eti kwa kuwa kuna mitihani, sawa atafanikiwa kuikwepa mitihani ila atalazimika kubaki nyumbani kuosha vyombo na kujifariji kwa kuangalia TVHuko barani Afrika na hao wana kina Akpan na kapama ndo zile tano tano zitarudi mahala pake
Na ninachopenda kutoka kwenye timu yenu ni mtakula tano tano mpk mwisho wa dunia na hata nusu fainali Iwe ya klabu bingwa au shirikisho hamtaweza kuja kufikaUkiogopa tano tano za Afrika hutafika popote, utaishia kupokea wageni. Ni sawa na kijana anayeogopa kwenda shule eti kwa kuwa kuna mitihani, sawa atafanikiwa kuikwepa mitihani ila atalazimika kubaki nyumbani kuosha vyombo na kujifariji kwa kuangalia TV
Timu yako ilisajiri akina Balinya kutoka Uganda, Yikpe kutoka Gor Mahia, Sarpong wa Ghana kutoka Rwanda, akina Mayele, Djuma, Moloko, Bangala na Ushindi kutoka Congo, lakini nyakati zote haijawahi kuvuka raundi ya awali (sio ya kwanza, nasema ya awali). Sasa sijajua unapata wapi ujasiri wa kuielekeza timu ambayo makundi na robo fainali ni kitu cha kawaida. Wewe sajili hao lakini ujue ni wa kubaki nyumbani kuosha vyombo na kujifariji na TVNa ninachopenda kutoka kwenye timu yenu ni mtakula tano tano mpk mwisho wa dunia na hata nusu fainali Iwe ya klabu bingwa au shirikisho hamtaweza kuja kufika
Kwa kulitambua hilo ndo maana mmekuwa mnasajiri wanigeria kutoka Tanga