Cathode Rays
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 1,738
- 1,495
goli la offside , huyu refa sijui vipi tena
Hahahaaa, ulikua shimo gani? Naona umekuja baada ya kubahatisha.
Bado sana kusema kapakatwa, subiri dakika 90.
goli la offside , huyu refa sijui vipi tena
Hapa Simba wametuchokoza ngoja tuwapige nyingi.
Mkuu bado una ujasiri wa kuwepo humu??
Hallo Hallo Bantu lady unanipata huko?
Siwaoni jamaa zangu humu sijui wamepotelea wapi.
Usichanganye madawa, sio sisiemu hii! Ni mechi ya simba na Yanga, off side???? Unaangalia mechi gani? Ile ya tano au ya mbili bila? Bao safi kabisa hilo, inaitwa kuwa na vision ya hali ya juu au an eye for a goal!!
Hapa Simba wametuchokoza ngoja tuwapige nyingi.