Kwenye huu uzi sema; Shikamoo Simba.
Sisi ndio wafalme wa soka la uwanjani, wanunuaji wa mechi wanaonekana. Badala ya kuniandaa na mchezo wameng'ang'ana na kanuni mpya za TFF. Matokeo yake wanamkaba Ibrahim Ajib wamemsahau kidume chao The Tomentor E. Okwi.
Si uliomba ban wewe. Au kiherehere kimekushinda?
Jisome tena.
Kwi kwi kwi teh teh teh.
Tanzania itakuwa kimya kwa muda wa dakika 90 , mnamo tar 8 march.
Live updates zote zitakuwa humu ndani.
Majadiliano, uchambuzi, na mengineyo.
Jiachie...! Usisahau ku_subscribe.
FULL TIME:
Simba 1 vs 0 Yanga Afrika
Ligi Kuu Tanzania Bara
Uwanja wa Taifa
Sasa atacheza nani? Maana alianza yeye kipindi kile Yanga waliongoza magoli matatu kipindi cha kwanza, kipindi cha pili yote yakarudi, Mustafa akaondolewa. Mtani jembe ya 2013 akaja Kaseja naye alipofungwa magoli matatu akaondolewa, akaaminiwa Munishi naye ilipofika mtani jembe 2014 akala yake mawili imani naye ikapotea na kuja kwa Mustafa tena, leo naye kale lake moja.Inauma Sana kuona kila tunapocheza na simba,tunafungwa Magoli ya kijinga!
Goli la leo kipa haileweki alikuwa anaenda wapi!?
Nyie munafuhia kagoli kamoja! sisi lazima tubebe ndoo ya lingi, kwa taarifa yenu tu, hata top 5 hamutaingia.
Kweli sikio la kufa halisikii dawa na siku ya kufa nyani mti yoteee huteleza........ Kikowapi kile Jerry Muro alichokuwa akikiongea kama msemaji wa Yanga??? ..... ni dhahiri kwamba alikuwa anabwabwaja na hajui anachokiongea kibaya zaidi hajui kwamba hajui ........ Yanga chaliiiiiiiiiiiiiii hongera sana MNYAMA