Mimi Nilikua Sijui kama Uwanja Wa Taifa una Taa za Kuchezea Mpira Mpaka AZAM ilipocheza na Mamelod Usiku.... Ishu ya Usalama ni ya Jeshi la Polisi Mbona Fiesta zinafanyika Usiku na ndio tukio linalokusanya Wahuni Kibao?Sababu za kiusalama
Zilichezwa mchana viti viling'olewa sasa zikichezwa usiku si watang'oa hadi yale machuma golini na nyasi zote za uwanjani
Oh kweli ni hatari sana ila mkuu mie nilimaanisha mechi za timu hizi na timu nyengine kama Azam FC anavocheza na timu nyengine pale Chamazi.Sababu za kiusalama
Zilichezwa mchana viti viling'olewa sasa zikichezwa usiku si watang'oa hadi yale machuma golini na nyasi zote za uwanjani