Tena vijana umakini sijui ulipungua yaani wangekula 5 hawa sungusungu leo.Naona Leo Sio lawama zao humu wale mkia fc
Ila wameniboa sana. Umakini ulikuwa mdogo sana leoT
Tena vijana umakini sijui ulipungua yaani wangekula 5 hawa sungusungu leo.
Udugu lawama ukiwa na nduguyo mlalamishi inabidi ukubali tu hatuna jinsi.Wanasubiri kichapo jumamosi ili wamlaumu refa.
Yaah!ngoma kakosa bao yeye na nyavu Tambwe pia alileta u binafsi yaani puch zingefika.Ila wameniboa sana. Umakini ulikuwa mdogo sana leo
Wamezingua. Halafu mechi zilizobaki zote nje ya DarYaah!ngoma kakosa bao yeye na nyavu Tambwe pia alileta u binafsi yaani puch zingefika.