wewe mpira unaujua! sio akina lipumba hawa wengine!Achange game plan. Haiwezekani simba wawe pungufu halafu bado wanaonekana kama wapo Kumi na Saba uwanjani
PoleeeeeeeeTulog out,kumeshachafuka hapa.
MmmmmmhHoney Kichuyaaaaaaa......
Bahati yenu Simba.
mnaenda wapi nyie kandambili tulieni, acheni ulipumba wenu!Tulog out,kumeshachafuka hapa.