Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
ila nimesema kama akifungwa nile ban.Hahahaah mkuu umejilipua.!
Leo sare
Wote mnaotoa ahadi mzitekeleze sasa ahadi zenu sio badae muingie mitini.
Safi sana, kwa kuendelea kukaza msimamo wakoila nimesema kama akifungwa nile ban.
mchezaji ghali halafu hovyo...Kumweka benchi mchezaji hatari Obrey Chirwa ( chirwa magori ) ni kujitakia kufungwa tu
Awali ya yote naomba kujua uko Timu gani[emoji3] .......Hahahaah mkuu umejilipua.!
Leo sare
Sawa sawa wahusika wameshakuonaMimi nitatekelez yanga wakishinda leo nipigwe ban ya masaa 24
Ujue ni Simba Dume..Jmn nimeaha noa visu kwa ajili ya kuchinjia simba. Hvyo wanayanga wenzangu muwahi nyama ila mm nitakula pale kati patamu
tujuane mapemaaaaAll the best Simba......
Niambie Leo tupo pamoja au kama kawaida yako mpinzani wangu?tujuane mapemaaaa
msimbazi ndani ya damu alaaNiambie Leo tupo pamoja au kama kawaida yako mpinzani wangu?