Ligi Kuu Bara : Young Africans SC vs Mwadui FC

Mwadui wanabana kama Simba jana ila wataachia tu.

Makosa tuliyoyafanya kipindi cha kwanza langoni mwa Mwadui yametucost,tungekuwa tunaongea mengine sasa.
 
Leo lazima wote tukae kimya mtaani

Huku mtaani mbona kushakua shwari, subiri tu vijana machachari wa mwadui wakatekate makandambili ili watu tupumue kwa raha zaidi na dalili zishaonekana kipindi cha kwanza.
 
Goooooo aaaah goal kick yanga wanakosa nafas mujaraaaabu hapa
 
Kama kweli tunataka ushindi huyu Mkata Umeme sijui Mkata Viuno atolewe otherwise tutatoa draw hii game.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji196] [emoji196]
 
SUB Dk 52 Kaseke anakwenda benchi nafasi inachukuliwa na Emmanuel Martin

Dk 50 Yondani anautoa mpira nje na MWadui wanapata kona

KADI 49 Mwamuzi Jonesia Lukyaa anamlamba kanavalo kadi ya njano kwa kucheza kindava

Dk 45, Yanga wanaanza kwa kasi, wanakuwa wa kwanza kufika kwenye lango la Mwadui. Goal kick
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…