Ligi Kuu Bara : Young Africans SC vs Mwadui FC

GOOOOOOOOO Dk 83, Chirwa anawachambua mabeki wa Mwadui na kuandika bao la pili hapa
SUB DK 81 Yanga wanamtoa Tambwe anaingia Said Juma
 
Ungeniona nilivyoshika shavu ungetoa chozi la huruma.
Chirwa kayarudisha mapigo yangu ya moyo sawa.
Hahahahaa wote sweetie tulikuwa na hali tete, mbona kafanya la maana. Wangekuja kukesha humu, kama wametufunga wao.
 
Nilikua nachungulia matokeo tu hapa. Kuangalia/kusikiliza mechi sijaweza.
Roho yangu jeupe peeee.
Usingizi wake usipime.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…