Tatizo camera mpira huko huku camera inaonyesha kule kisha hakuna kurudia tukio ukiangalia lazima macho yakuume tu
jamani hivi lini hii ligi ya nyumbani itakuwa inaweza kuonyeshwa nje ya nchi hata wale watanzania walio nje waweze kuiona? na kama hilo haliwezekani basi hata zile mechi za kimataifa za timu yetu ya taifa zinazochezwa hapo Dar lini tutaanza kuziona live thr online kwa walio nje ya nchi? tatizo ni nini???