Ligi Kuu ina pesa nyingi sana, timu ziwe 18 tuepushe presha za vilabu

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
ligi kuu ina pesa nyingi sana. na possible next season pesa zitaongezeka. iko hivi,

1. Ligi kuu now ina recruitment organisations for players trials in foreign countries.

2. Kuna azam money na possible increase of fund every season. per team.

3. Kuna agency zinaongezeka. possible watu wana wachezaji wao ligi kuu. kushuka ni loss. vita ni kubwa.

4. Tuepushe hizi multiple process za kushuka dalaja. maana tuna best 16 teams. well built nani atakubali kushuka. bila vita.

5. This violence will just get worse na match fixing zitaongezeka. next seasons mambo yatakuwa mengi sana.

ie. Look into it.
 
Tunahitaji ligi ya timu 20 standard ya England zinashuka tatu zina panda 2 moja inapanda kupitia play off ya champion ships ya timu 4 kuanzia aliyeshika namba tatu kwenye championship hadi sita mmoja anaunga na wale wawili kupanda ligi kuu
 
20 is too many 18 ni better standards kwa ligi yetu ila 16 wanazingua
 
Tunahitaji ligi ya timu 20 standard ya England zinashuka tatu zina panda 2 moja inapanda kupitia play off ya champion ships ya timu 4 kuanzia aliyeshika namba tatu kwenye championship hadi sita mmoja anaunga na wale wawili kupanda ligi kuu
Wale jamaa play off yao safi sana, mshindi wa tatu anacheza na wa sita, wanne na wa tano home and away then inapigwa fainali moja mtu anapanda. Huku kwetu sasa kwa Karai ni hatari tupu.
 
ligi kuu ina pesa nyingi sana. na possible next season pesa zitaongezeka. iko hivi,

1. Ligi kuu now ina recruitment organisations for players trials in foreign countries.

2. Kuna azam money na possible increase of fund every season. per team.

3. Kuna agency zinaongezeka. possible watu wana wachezaji wao ligi kuu. kushuka ni loss. vita ni kubwa.

4. Tuepushe hizi multiple process za kushuka dalaja. maana tuna best 16 teams. well built nani atakubali kushuka. bila vita.

5. This violence will just get worse na match fixing zitaongezeka. next seasons mambo yatakuwa mengi sana.

ie. Look into it.
Zikiwa 18 au 20 poa sana.
 
Wale jamaa play off yao safi sana, mshindi wa tatu anacheza na wa sita, wanne na wa tano home and away then inapigwa fainali moja mtu anapanda. Huku kwetu sasa kwa Karai ni hatari tupu.
Na kombe linatolewa kwa ataeshinda fainali
 
Back
Top Bottom